Uliberali Umepora Unyoofu wa Watoto
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ripoti ya Tume ya Watoto ya Uingereza, iliyochapishwa mnamo Januari 31, 2022, iliripoti kwamba mtoto 1 kati ya 10 nchini ameonyeshwa ponografia ya mtandaoni akiwa na umri wa miaka 9, na kufikia umri wa miaka 13, asilimia 50 ya watoto wameona ponografia.