Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Jukwaa la Mazungumzo: “Ni Wakati sasa wa Kituo cha Kisiasa Kujikomboa kutokana na Utegemezi wa Wakoloni wa Magharibi”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kamati ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia iliandaa jukwaa la mazungumzo lenye kichwa “Ni Wakati sasa wa Kituo cha Kisiasa Kujikomboa kutokana na Utegemezi wa Wakoloni wa Magharibi” siku ya Jumapili, 23 Novemba 2025, katika ukumbi wa mikutano wa hizb katika makutano ya Sukra Ariana katika mji mkuu.



