Hizb ut Tahrir / Amerika: Pongezi kwa mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubarak 1446 H
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pongezi kutoka kwa Hizb ut Tahrir / Amerika kwa mnasaba wa ujio wa Idd ul-Adha 1446 H.
Pongezi kutoka kwa Hizb ut Tahrir / Amerika kwa mnasaba wa ujio wa Idd ul-Adha 1446 H.
Hizb ut Tahrir/Amerika inaandaa kongamano lake la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu, 2025, chini ya kichwa: “Ulimwengu uko katika Njia panda: Mgogoro wa Kimfumo na Njia ya Kusonga Mbele”
Hebu Idd hii na iwe ukumbusho kwamba faraja iko pamoja na dhiki. Kupitia umoja, ukakamavu, na imani isiyoyumbayumba, tunatoa njia kwa ajili ya mustakabali wa heshima na nguvu. Simameni imara katika Dini yenu, na simamisheni haki, hebu Taqwa na iongoze kila kitendo.
Bangladesh Yawakamata Waislamu 4 kwa Kubeba Bendera ya Mtume ﷺ!
Kwa kuzingatia mapambano yanayoendelea, ni wazi kuwa masuluhisho ya sasa yanayoongozwa na Amerika yanashindwa kushughulikia sababu kuu za mzozo huo. Hafla hii itavinjari mwelekeo tofauti-uliojikita katika kanuni na uadilifu wa Kiislamu-ili kutoa njia ya mabadiliko ya kudumu.
Bangladesh na mfumo wa sasa wa ulimwengu… Darubini ya Kiislamu!
Kalima iliyoelekezwa kwa jamii ya Waislamu ili kuregesha uaminifu wake kwa Uislamu na kujiepusha na wafisadi, kwa kuzingatia hotuba ya mhalifu Netanyahu mbele ya bunge la Congress.
Dkt. Abdur Rafay kuhadithia maelezo yanayoatua moyo kutoka Rafah na kuhutubia suluhisho la Palestina.
Idd Mubarak kwa Niaba ya Hizb ut Tahrir / Amerika, tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) azikubali Hijja za Mahujaji kama Hajj Mabrur na auruzuku Ummah ushindi.
Hizb ut Tahrir / Amerika: Maoni juu ya Maandamano ya Vyuo Vikuu!