Marekani kwa mara Nyengine tena Imelila Sanamu la "Sheria ya Kimataifa"
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumapili usiku, Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza "mafanikio ya mashambulizi ya mabomu" ya Jeshi la Anga la Marekani katika maeneo matatu muhimu katika mpango wa nyuklia wa Iran.