Mamlaka za Kyrgyzstan Zinayapiga Vita Maadili ya Kiislamu
- Imepeperushwa katika Kyrgyzstan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka za Kyrgyzstan zinafanya kampeni dhidi ya maadili ya Kiislamu, haswa mavazi ya Kiislamu, kwani kuna idadi kadhaa ya hatua zinazoonyesha hili.