- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
DVD “Nasheed za Khilafah 1447 H - 2025 M”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu Habari DVD mpya katika lugha tatu yenye kichwa:
“Nasheed za Khilafah 1447 H - 2025 M”
kwa ajili ya matumizi katika amali na shughuli za kida’wah.
Imetayarishwa na Idara ya Machapisho na Nyaraka katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
Kupakua DVD
Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 30 Septemba 2025 12:13