Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Semina kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya 103 ya Kuvunjwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa amali na semina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 103 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.