HTI Inautaka Utawala wa Kidhalimu wa Uzbekistan Kusitisha Kuwatesa Wanaharakati wa Da'wah
- Imepeperushwa katika Uzbekistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waandamanaji wapatao 500 wa Hizb ut Tahrir Indonesia waliandamana mjini Jakarta wakiitaka serikali ya Uzbekistan isitishe kuwakamata, kuwatesa na kuwaua wanaharakati wa Hizb ut Tahrir Uzbekistan, Alhamisi (mnamo 7/7) mbele ya ubalozi wa Uzbekistan