Kimya Kizito kutoka Kwa Tawala za Waislamu huku Uchina Ikiendeleza Kampeni yake ya Kidhalimu ya Kishirikina Dhidi ya Waislamu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya Jumamosi, 5 Januari, gazeti pekee la Uchina la Kiengereza, Global Times liliripoti kuwa serikali ya Uchina ilipitisha sheria ya kuufanya Uislamu uwiane na ujamaa.



