Kimbunga cha Al-Aqsa kiko Hai na Kinaendelea
Alhamisi, 24 Rabi' II 1447 - 16 Oktoba 2025
Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa haikuwa tukio la muda mfupi ambalo lilimalizika kwa makubaliano ya mhalifu Trump na dola ya kikafiri nyuma yake, Marekani, muungaji mkono rasmi wa umbile la Kiyahudi. Badala yake, Kimbunga cha Al-Aqsa kilikuwa ni cheche iliyowasha moto ndani ya nyoyo za Waislamu, na kuzifungua akili na nyoyo zao. Waliona unyonge na uovu wa watawala wao wasaliti, na wakatambua unafiki wa wale wanaodai kuwa ni na ubinadamu, na wanaotetea haki za wanawake na watoto. Wakawa na hakika kwamba sheria za kimataifa, na mikataba si chochote ila ni silaha inayotumiwa na makafiri, dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Al-Waqiyah TV: Kwa Mukhtasari... Kuwadhibiti Wanaodhulumiwa... Kwa Dhulma Zaidi?!
Al-Waqiyah TV: Kwa Mukhtasari... Kuwadhibiti Wanaodhulumiwa... Kwa Dhulma Zaidi?!
Al-Waqiyah TV: Lau Wangekuwa Wakweli kwa Mwenyezi Mungu ﷻ... watawala…
Al-Waqiyah TV: Lau Wangekuwa Wakweli kwa Mwenyezi Mungu ﷻ... watawala wetu hawangekuwa na kiburi!
Al-Waqiyah TV: Ukweli Uliofichuliwa na Matokeo ya Kimbunga cha Al-Aqsa!
Al-Waqiyah TV: Ukweli Uliofichuliwa na Matokeo ya Kimbunga cha Al-Aqsa!
Maadhimisho ya Mwaka wa Pili wa Operesheni ya Kimbunga cha…
Tarehe 7 Oktoba iliadhimisha mwaka wa pili wa operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa. Miaka miwili…
Kongamano la Sharm El-Sheikh Ni Kutangaza Ushindi Juu ya Ummah,…
Baada ya Trump kutangaza ushindi yeye na mfuasi wake, umbile la Kiyahudi, walioupata katika hotuba…