Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Wanazuoni wa Kiislamu! Wachocheeni Maafisa wa Jeshi Kupindua Uongozi wa Kijeshi, Vibaraka wa ukoloni!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 11 Aprili 2025, Mufti Muhammad Taqi Usmani, jaji wa zamani wa Mahakama ya Shirikisho la Sharia, alisema kwamba jihad dhidi ya “Israel” ni faradhi kwa serikali zote za Waislamu. Hata hivyo, licha ya kutangaza kuwa ni wajibu, uongozi wa kijeshi haukukusanya vikosi vya kijeshi kuinusuru Gaza.