“Mwaka Mpya” sio sherehe bali ni maombolezi ya majanga na maafa!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Asilimia 50 ya Wakenya wameutaja mwaka wa 2022 kuwa mbaya zaidi. Kulingana na ripoti ya hivi punde ya kampuni ya utafiti ya Infotrak, gharama ya juu ya maisha, ukosefu wa ajira na upatikanaji wa huduma za afya, yameorodheshwa kuwa ni miongoni mwa masuala yanayowatia Wakenya tumbojuto.