Himaya Yashambulia Gaza - Sami Hamdi na Kifo cha Upinzani
Jumatano, 7 Jumada I 1447 - 29 Oktoba 2025
Baada ya umbile la Kizayuni kuifahamisha Marekani kuhusu uamuzi wake wa kuanza tena operesheni zake za uhalifu mjini Gaza, zaidi ya wakaazi 109 wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina - wakiwemo watoto 46 - waliuawa shahidi, na wengine wengi walijeruhiwa tangu Jumanne jioni, 28 Oktoba 2025, katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa kote Ukanda wa Gaza. Mabomu hayo yalilenga nyumba za raia na shule inayowahifadhi watu waliokimbia makaazi yao huko Beit Lahia, kaskazini mwa Gaza.
Kupiga Kura Ndani ya Mfumo wa Kisekula Kunapelekea Kuoanishwa
Mara nyingi zaidi, maimamu, mabaraza, na viongozi wa kidini huwataka Waislamu nchini Uholanzi kupiga kura…
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Masuala ya…
Sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, tuna furaha kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa,…
Wewe Ndiye Uliyewaletea Waislamu Njaa, Masoud Pezeshkian!
Iran ilitangaza kufilisika kwa benki yake kubwa zaidi ya kibinafsi, Benki ya Ayandeh, ambayo ina…
Mayahudi Hawaheshimu Maagano Wala Hawawezi Kuaminiwa, Na Wapatanishi Si Waaminifu
Umbile la Kiyahudi limekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano dhidi ya Gaza zaidi ya mara 80,…
Watawala wa Waislamu Hawana Sifa za Kulinda Heshima ya Waislamu!
Vyombo vya habari viliripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump alicheza densi kwenye zulia jekundu…




