Jumatano, 29 Ramadan 1447 | 2026/03/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa Khilafah

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 H (102 M) ya kuvunjwa kwa Dola ya Kiislamu (Khilafah Uthmani) na wakoloni makafiri, wakisaidiwa na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, na kufutwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) kutoka kwa Ummah wa Kiislamu, na kugawanyika kwa ardhi za Waislamu kuwa vidola dhaifu vinavyotawaliwa na vibaraka wa wakoloni makafiri, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa msururu wa semina na mikutano ya wakati mmoja katika maeneo 50 kote nchini Uturuki chini ya kichwa:

“Khilafah si Khiyari, bali ni Dharura ya Kidini!”

Ushiriki wa Waislamu katika amali na semina hizi ulikuwa wa ajabu, ukionyesha uungaji mkono wao kwa kazi kubwa ya kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa Njia ya Utume, kama ilivyoahidiwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu na kutabiriwa na Mtume Wake, rehma na amani zimshukie.

Jumanne, 14 Ramadhan 1447 H – 3 Machi 2026 M

- Video Iliyowasilishwa Wakati wa Semina -

- Sehemu ya Amali za Semina na Mikutano -

 

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu