Jumatano, 15 Dhu al-Hijjah 1446 | 2025/06/11
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan:

Jeshi la Anga la Pakistan lazima liongoze kampeni ya anga (Operesheni Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi na Makruseda!

Jeshi la India lilithibitisha kwa mara ya kwanza mnamo 31 Mei 2025 kwamba lilikuwa limepoteza idadi isiyojulikana ya ndege za kivita katika mapigano na Pakistan mnamo Mei mwaka jana. Enyi mwewe wa nchi hii safi! Umbile la Kiyahudi linafanya mauaji makubwa dhidi ya watoto wetu, dada na babu zetu, na hamkusonga! Kwa fadhila na upendeleo wa Mwenyezi Mungu ﷻ, muna uwezo wa kuongoza “Vita Vikuu vya Angani” dhidi ya vikosi vya kikatili vya Netanyahu na Trump. Mna zaidi ya “Aurangzeb” mmoja wenye uwezo wa kuongoza oparesheni za anga za Umma dhidi ya Mayahudi na wafuasi wao wa Makruseda. Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw): “رِبَاطُ يَوْمٍ فِي سَبِيلِ اللَّهِ خَيْرٌ مِنَ الدُّنْيَا وَمَا عَلَيْهَا“Siku Moja ya kuchunga ardhi katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyomo ndani yake” (Bukhari).

#Time4Khilafah

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumatatu, 06 Dhu al-Hijjah 1446 H sawia na 02 Juni 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu