Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 441
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kuongezeka kwa mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya watu waliokimbia makaazi ya Syria nchini Lebanon, na baada ya Gatuzi la Kaskazini kuchukua maamuzi kadhaa yasiyo ya haki dhidi yao, na uvamizi wa vyombo vya usalama vilivyo nje ya mamlaka yao kwenye kambi za wakimbizi hao
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Mei 2023 M.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kisimamo katika mji wa Tripoli, Ash-Sham, mbele ya Al-Saray, chenye kichwa:
“Sote tuko dhidi ya Kampeni ya Kibaguzi na ya Kidhulma dhidi ya Ndugu zetu Watu wa Ash-Sham!"
Kuna mjadala unaokua kuhusu iwapo mabadiliko kuelekea kwenye matumizi ya sarafu nyenginezo tofauti na dolari katika mikataba fulani ya kibiashara itasababisha mchakato wa kuiondoa dolari, na ikiwa hii itasababisha kupunguzwa kwa utawala wa dolari katika mfumo wa sasa wa dunia.
Hizb ut Tahrir / Kenya inapenda kutoa salamu za dhati za Idd ul-Fitr yenye baraka kwa Waislamu nchini Kenya na dunia nzima kwa jumla.
Polisi nchini Kenya wanaendelea na ufukuaji wa makaburi membamba kuitoa miili ya watu wanaoaminika kufa njaa katika eneo la pwani ya nchi. Idadi ya vifo hadi sasa imefikia 89 huku miili zaidi ikitarajiwa kutolewa.
Mamlaka ya Kihouthi ilimkamata Ndugu Abdullah Ali Al-Qadi kabla ya jua kuzama mnamo Jumanne, tarehe 27 Ramadhan iliyobarikiwa 1444 H, ambapo alitekwa nyara mbele ya nyumba yake katika mji mkuu, Sana'a, katika siku tukufu, kwa shtaka la kutaja hukmu tukufu, "Zakat kati ya mfumo wa Kiislamu na mfumo wa kisekula wa Houthi."
Siku ya Alhamisi usiku, 29 Ramadhan, 1444 H, watu 78 waliuawa na zaidi ya mia moja kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na kesi za walio mahututi, katika shule ya Bab Al-Yaman katika mji mkuu, Sana'a, wakati wa kusambaza zaka za baadhi ya wafanyibiashara kwa watu.
Matumizi ya silaha duniani yalifikia rekodi ya $2.24 trilioni mwaka 2022, ongezeko la karibu 4%, kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI). Shirika hilo la kimataifa liligundua kuwa mwelekeo huo uliongozwa na nchi za Ulaya kuregea katika viwango vya matumizi ya Vita Baridi, ingawa Marekani imesalia kuwa nchi inayotumia pesa nyingi zaidi katika vita.