Anayechukua maagizo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Hutawala kwa Mujibu wa Uislamu, Sio kwa Mujibu wa Usekula na Demokrasia, Ewe Erdogan!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Je, Bw Kemal na wafuasi wake wanapata wapi maagizo yao? Kutoka kwa magaidi huko Kandil. Na sisi tunapokea maagizo kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Je, mnamo tarehe 14 Mei, tuko tayari kuwazika wale wanaochukua maagizo kutoka mlimani? Sina shaka na hilo.