Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 440
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuamini qadhaa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Jordan inaomboleza pamoja na Umma wa Kiislamu kwa jumla na watu wa Jordan hasa Shab wa Hizb ut Tahrir, mmoja wa waaminifu wake, wenye subira na wenye matumaini.
Ndugu mtukufu:
Ustadh Omar Faleh At-Tal (Abu Abdullah)
Imetolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria
Alhamisi, 22 Ramadhan Al-Mubarak 1444 H – 13 Aprili 2023 M
Bait ul-Maqdis – Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Usiku wa Jumanne, 27 Ramadhan Al-Mubarak 1444 H – 18 Aprili 2023 M
Mkusanyiko wa watu na wakaazi wa viungani mwa Aleppo Kaskazini wanalaani uadui wa Mayahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuyataka majeshi kusonga ili kuukomboa kutokana na najisi ya Mayahudi.
Wakaazi wa mji wa Al-Bab viungani mwa Aleppo waliandaa kisimamo cha kuunusuru Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, wakiomba nusra kutoka kwa majeshi ili kuukomboa kutokana na najisi ya Mayahudi.
Mnamo tarehe 26 Machi 2023, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris aliwasili Accra Ghana kuanza ziara yake ya nchi tatu barani Afrika. Baadaye alitembelea Tanzania na Zambia. Akiwa ni kiongozi mkubwa wa 18 wa Marekani kuzuru Afrika mwaka huu, alitua Dar es Salaam, Tanzania tarehe 29/03/2023 kwa ziara ya siku tatu.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak 1444
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Ulinganizi kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak