Maeneo ya Mabomu ya Ardhini katika Pwani ya Magharibi Yamegeuka kuwa Viwanja vya Vifo kwa Watu wa Yemen
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Watu wa Yemen wameteseka kutokana na hali ya utegaji wa mabomu ya ardhini tangu kuzuka kwa mizozo ya kisiasa na kijeshi katika miaka ya 1960 na vikiwemo vita vya maeneo ya kati na matukio ya 1994 na kuendelea.