Mikopo Haitarekebisha Kile ambacho Ubepari Umeharibu Je, Misri inawezaje Kustahamili Uokozi Mfululizo wa Mikopo na Mfumko wa Bei Unaotokana Nayo?
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) ulitangaza kuidhinisha mpango wa ushirikiano wa miezi 46 kwa Misri, wa kiasi cha dolari za Marekani bilioni 3, kulingana na taarifa kutoka IMF mnamo Jumamosi 12/17/2022.