Serikali ya Rishi Sunak Yaipiga Marufuku Hizb ut Tahrir na Kuisingizia Uongo, Kuibandika Upanga wa "Kuchukia Mayahudi" dhidi ya wale Wanaopinga Mauaji Yanayofanywa na umbile la Kiyahudi huko Gaza
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Alhamisi iliyopita, Januari 18, 2024, serikali ya Uingereza ilipigia kura Bungeni ombi la kupiga marufuku Hizb ut Tahrir, ambapo marufuku hiyo iliidhinishwa na wabunge wachache waliokuwepo kwenye kikao hicho.