Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H.
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H.
Hata kama Waislamu wa Pakistan wanajiandaa kwa ajili ya furaha ya Idd, akili zao zinazunguka mara kwa mara kwa ajili ya masaibu ya Waislamu wa Gaza.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Iregesheni Ramadhan katika Njia Yake ya Mwanzo”
Enyi Waislamu wa Pakistan! Lazima tuyatake majeshi yetu yasimamishe tena Khilafah na kuhamasika kwa ajili ya Gaza. Lazima tumkumbushe kila afisa wa jeshi kwamba tunajua juu ya malipo makubwa yanayongojea shujaa ambaye atatoa nusra yake ya kimada kwa ajili ya kusimamisha tena utawala kwa Uislamu.
Ni juu ya majeshi ya Waislamu kukusanyika kwenda kuinusuru Gaza, ili wawe sako kwa bako na Umma wa Kiislamu katika kuinusuru Gaza.
Ni juu ya majeshi ya Waislamu kusimamisha tena Khilafah, ambayo ni ngao ya Waislamu mjini Gaza nan je ya Gaza! Mtume wa Mwenyezi Mungu kipenzi chetu ﷺ amesema,
“Hakika, Imam ni ngao. Waislamu hupigana nyuma yake na hujihami kwaye.”
Enyi Waislamu wa Vikosi vya Jeshi! Je! Kuna huduma yoyote kubwa ya kijeshi kuliko ile ya Saad ibn Muadh (ra)? Sa’ad alitoa Nusrah kwa ajili ya kusimamishwa hukmu kwa yale yote aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu ﷻ. Sa’ad alishinda juu ya maadui.
Ripoti ya jibu la swali lililotolewa na Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi.
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano makubwa katika miji mikubwa ya Pakistan.