Hukmu Kuhusiana na Uigizaji na Kutazama Filamu Zinazo Igiza Mitume na Maswahaba
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni ipi Hukmu kuhusiana na kutazama filamu na vipindi vinavyo igiza mitume na maswahaba?
Ni ipi Hukmu kuhusiana na kutazama filamu na vipindi vinavyo igiza mitume na maswahaba?
Katika kitabu At-Tafkeer Al-Islami, ambacho ni mojawapo ya vitabu vilivyo tabanniwa, kinataja kuwa dua hairudishi qadar na haibadilishi qadhaa au elimu ya Mwenyezi Mungu (swt).
Katika kitabu Shakhsiya ya Kiislamu Juzuu 3 juu ya mada (Chochote kinacho pelekea Wajib hicho nacho ni Wajib) katika ukurasa wa 44 (nakala ya Kiarabu) kinaeleza kuwa: "na ima iwe sababu ni ya kisheria kama jinsi ya kuacha huru (watumwa) kwa lazima" kana kwamba anakusudia aya ya dhwihar, katika maneno ya Mwenyezi Mungu:
Kuhusiana na adhabu ya kifo kwa mzinifu aliye katika ndoa (muhsan), je, hii imeorodheshwa katika Fiqhi ya Uislamu? Kuna baadhi ya wanavyuoni kama vile Sheikh Abu Zahrah ambao hawaiorodheshi kama adhabu ya Hudud.
Nilikuwa katika jahiliyyah na kwa makusudi nikaacha funga ya Ramadhani bila ya udhuru, Kisha, Alhamdulillah Mwenyezi Mungu akanirehemu nikatubu, vipi nilipe funga niliyoiacha? Je ni juu yangu kulipa fidiyah kila mwaka au inatosha kulipa tu?
Uwekaji akiba dhahabu kwa miaka ambapo zaka juu yake haikulipiwa, je inalipwa kila mwaka au mara moja tu maishani? Na utoaji wake ni kwa thamani? Ahsante.