Je, Yajuzu kwa Mwanamke Kafiri Kutawalishwa Ukadhi wa Shariah?
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Assalam Aleykum wa Rahmatullah wa Barakatuh. Sheikh mpendwa, natumai Mwenyezi Mungu atakamilisha amri yake mikononi mwenu na atukirimu kwa Dola ya Khilafah karibuni, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu juu ya hilo…