Ombwe la Kisiasa Nchini Pakistan
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika kipindi cha wiki moja tu, kutokana na maagizo ya IMF, serikali ya Pakistan imeongeza bei ya petroli na dizeli kwa PKR 60. Hivyo petroli imechupa kutoka PKR 150 hadi 210! Kwa mara nyengine, mfumo wa uagiziaji umeweka rekodi mpya.