Umuhimu wa Kuwa na Fahamu Sahihi za Kisiasa kwa ajili ya Kuhuisha Umma wa Kiislamu
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwenyezi Mungu (s.w.t.) aliteremsha aya hii mjini Madina akizungumzia matendo ya wanafiki ambapo walikuwa wakiwafanyia matatizo Waislamu waliokuwa wakiishi katika Dola ya Kiislamu. Qur’an iliteremshwa kwa ajili ya wanadamu mpaka Siku ya Kiyama, na tunaangalia maana ya jumla ya aya bila ya kuweka mipaka kwenye sababu mahususi ambayo kwayo aya hiyo iliteremshwa.