Kuyumbayumba kwa Dola Kuu za Kiulimwengu na Kuanguka Kwake kuliko Karibia
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
China inaonyesha kuwa dunia hivi sasa ni yenye sehemu mbili na hali hiyo ni nzuri kwa dunia, na kuwa China ni bora kuliko Amerika katika upande wa sera za kiuchumi. Inafanya miamala na kila aina ya tawala, ima uwe wa kidikteta, wa kiimla, nk.