Sio Suala Kupata Mamlaka Pekee, Badala Yake Mamlaka Hayo Yanapaswa kuwa kwa Ajili ya Uislamu
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kukombolewa Kabul, mjadala umeanza kuhusiana na hitajio la Khilafah katika eneo hilo ikiwa hatua inayofuata ni kuunganisha mataifa yaliopo kuwa ni dola moja.
Kuokoa adhabu isiyo ya haki kwa kuulingania Uislamu pamoja na Hizb ut Tahrir, Hafizov Asgat aliongezewa miaka mengine 10 gerezani hadi kufikia miaka 19.
Katika makala yaliyochapishwa mnamo Julai 5, Amerika ilitangaza kwamba imeondoka Kambi ya Anga ya Bagram.
Haki za Waislamu hazirejeshwi kupitia unyenyekevu, ulegezaji msimamo, diplomasia na mapatano.
Mnamo Julai 27, shirika la Amnesty lilichapisha makala inayoeleza kuwa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Syria unafanyakazi moja kwa moja na kundi la – Umoja wa Kitaifa wa Wanafunzi wa Syria (NUSS) – ambalo linatuhumiwa kwa kuusaidia utawala wa Assad katika mauwaji yake ya halaiki dhidi ya wasio na hatia wanaopinga utawala wake nchini humo.
Shireen Mazari karibuni aliandika nukuu ya tweet kuhusiana na mauwaji ya kinyama ya msichana anayeitwa Noor Mukaddam ambayo yameogofya nchi nzima.
Wakati Taliban ikijikusanyia wilaya zaidi na kusonga kuelekea Kabul, serikali ya India imeendelea kukosa subira kwa kuwa ushawishi wake jijini Kabul utafutika kabisa.
Mnamo siku ya Alhamisi Julai 1, Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan aliwathibitishia wanachama wa vyombo vya habari vya China msaada wake kwa sera za serikali ya China huko Turkestan Mashariki.
Katika muda wa miaka 10 kamili iliyopita, Erdogan, alipokuwa bado ni Waziri Mkuu wa Uturuki wakati huo, alitembelea Misri na kukutana na wawakilishi wa makundi tafauti na vyama vya kisiasa, pamoja na wagombea uraisi, katika kipindi cha mpito baada ya utawala wa Mubarak, ambao umeangushwa na Mapinduzi ya Kiarabu.