Hukumu za Kifo za Al Sisi na Tukio la Ajabu la Erdogan na Misri
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika muda wa miaka 10 kamili iliyopita, Erdogan, alipokuwa bado ni Waziri Mkuu wa Uturuki wakati huo, alitembelea Misri na kukutana na wawakilishi wa makundi tafauti na vyama vya kisiasa, pamoja na wagombea uraisi, katika kipindi cha mpito baada ya utawala wa Mubarak, ambao umeangushwa na Mapinduzi ya Kiarabu.