China na Amerika: Vita, Mapambano au Udhibiti
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Septemba 24, 2021 viongozi wa ushirikiano usio rasmi wa Quad ulitangaza, “Kwa pamoja, tumejifunga tena kukuza mpango huru, ulioegemea kanuni za uwazi, zilizochimbuka katika sheria za kimataifa na zisizo na hofu ya shinikizo, kuimarisha usalama na ustawi katika Indo-Pacific na nje yake.”