Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 379
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa mji wa Halaf kwa anwani: "Kufungua Mipaka Kunatangulizwa Kuliko Kufungua Kambi za Uzuizini!"
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Esenyurt katika jimbo la Istanbul.
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Tatvan katika mkoa wa Bitlis.
Kutoka ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan kwa mwito "Wakati wa Khilafah Umewadia" katika mwezi mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 H ya kuvunjwa Dola ya Khilafah tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Anatolia.
Kutoka ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon dhidi ya ukopaji kutoka Mfuko wa Fedha wa Kimataifa katika mwezi mtukufu wa Rajab mwaka huu wa 1443 H, sanjari na mnasaba wa miaka 101 H ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.
Katika mwezi Mtukufu wa Rajab mwaka huu 1443 H / 2022 M na kwa mnasaba wa kumbukumbu mbaya ya wahalifu kuivunja Dola ya Kiislamu na kuuondoa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) tarehe 28 Rajab 1342 H sawia na na Tarehe 3 Machi mwaka wa 1924 M.