Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 380
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwezi wa Rajab huregea kila mwaka na huleta kumbukumbu nyingi zinazowafurahisha Waislamu, lakini mwezi wa Rajab unabeba kwa kizazi hiki cha Umma wa Kiislamu kumbukumbu maalum ambayo haiwezi kupuuzwa, ambayo ni kumbukumbu ya kuvunjwa Khilafah katika mwezi wa Rajab wa mwaka 1342 Hijria.
Katika mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kwa kuhitimisha amali angazo pana iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika kipindi chote cha mwezi wa Rajab 1443 H
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi mjini Inegol katika jimbo la Bursa chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H.
Hatimaye wanachama watatu wa Hizb ut Tahrir Tanzania, Ust. Ramadhan Moshi Kakoso (45), Waziri Mkaliaganda (37) na Omar Salum Bumbo(55) waliotekwa na kubambikiwa kesi ya ugaidi na kuwekwa kizuizini kwa miaka minne na nusu wameachiwa huru siku ya Jumatano tarehe 23 Februari 2022.
Kama sehemu ya kumbukizi ya miaka 101 tokea kuvunjwa kwa Khilafah, Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya ilifanya kampeni yenye kauli mbiu KHILAFAH HITAJIO LETU kwa kuandaa msururu wa amali huku kubwa zaidi ni hizi:-
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi",
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi",
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"
Rais wa Amerika Joe Biden mnamo Jumatano, 9 Februari 2022 alitoa taarifa kwa kichwa, “Taarifa ya Rais Biden kuhusiana na Utangulizi wa Uidhinishaji Upya wa Sheria ya 2022 ya Kupambana na Ukatili Dhidi ya Wanawake.”