Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 449
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Salamu kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah kwa wanaozuru kurasa zake mtandaoni kwa mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubaraka ya mwaka 1444 H sawia na 2023 M
Pongezi kutoka kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd Al Adha 1444 H
Mnamo tarehe 10 Mei 2023, baadhi ya majukwaa ya habari yakiwemo ya maandishi na televisheni yaliripoti kuhusu kuzuiliwa kwa hadi Waislamu 16 katika miji miwili - Bhopal na Hyderabad.
Maoni ya Habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli... Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Hizb ut Tahrir inatoa pongezi za dhati na baraka nyingi kwa Umma wa Kiislamu kwa mnasaba wa Idd al-Adha iliyobarikiwa, ikimwomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aifunike kwa siku za furaha, raha na utulivu, na kuuzunguka kwa baraka zake.
Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Adha Al-Mubarak 1444 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa msafara wa Takbir, Tahlil na Tahmid katika mji wa Tripoli Ash-Sham kwa mnasaba wa kuingia siku kumi za Dhu al-Hijjah 1444 H.
Katika makala ya gazeti la New York Times, yenye kichwa, "Utawala wa Biden Washiriki Jaribio la Muda Mrefu kwa Makubaliano ya Saudi-'Israel’" inaripotiwa kuwa, "Rais na wasaidizi wake wanasisitiza juhudi za kidiplomasia huku Riyadh ikitoa matakwa makubwa kwa badali ya uhalalishaji mahusiano, pamoja na makubaliano ya nyuklia na makubaliano thabiti ya usalama ya Marekani.”
Mnamo tarehe 14/6/2023, kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa Vita vya Pili vya Dunia, serikali ya Ujerumani iliidhinisha mkakati wa kitaifa wa usalama wa taifa,