Jumamosi, 05 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ujumbe wa Hizb ut Tahrir Uko Wazi Kabisa na Si Tishio kwa Usalama

Chama cha Kisiasa cha Kiislamu cha Hizb ut Tahrir Kenya kimesikitishwa sana na hatua iliyochukuliwa na vyombo vya usalama nchini Kenya kusitisha Kongamano lao jijini Mombasa. Kongamano hilo chini ya kauli mbiu "Khilafah Tuitakayo kwa Njia ya Utume" lililo andaliwa kufanyika mnamo Jumapili 8 Mei 2016 kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi jioni lilisimamishwa dakika ya mwisho kwa madai ya 'sababu za kiusalama'.

Soma zaidi...

Naveed Butt Alitekwa Nyara baada ya Kuwafichua Wasaliti katika Uongozi wa Jeshi Juu ya Shambulizi la Amerika la Abbotabad

Mnamo tarehe 27 Aprili 2016, dondoo za kitabu kimoja cha mwandishi wa habari maarufu wa Marekani, Seymour Hersh, zilichapishwa katika gazeti la Kiingereza la Dawn, ambamo alisema kwamba amekinai sana zaidi kuliko hapo awali kwamba Pakistan iliisaidia Marekani kumpata Osama.

Soma zaidi...

Ufisadi Nchini Kenya

Kwa mara nyingine tena, Kenya iko katika kurunzi ya ulimwengu kuhusiana na ufisadi. Kwa mujibu wa utafiti kuhusiana na matukio ya uhalifu wa kiuchumi uliotolewa jijini Nairobi mnamo Ijumaa 26 Februari 2016 na kampuni ya uhasibu ya Price Waterhouse Coopers (PwC), Kenya imeorodheshwa nchi ya tatu fisadi zaidi ulimwenguni.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu