Upofu wa Moroko kwa Zama Zake Zilizo Pita na Mustakbali Wake
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfalme Mohammed wa Sita wa Moroko amekamilisha ziara yake nchini Tanzania.
Mfalme Mohammed wa Sita wa Moroko amekamilisha ziara yake nchini Tanzania.
Msanii maarufu wa Marekani Chris Brown yuko katika ziara ya Jiji la Mwambao wa Pwani la Mombasa Kenya kufanya tamasha la muziki katika Bustani ya Mama Ngina. Msanii huyu si maarufu tu kwa wapenzi wa muziki bali pia katika upande wa ujambazi.
Mara tu baada ya kuuwawa kwa wasichana watatu wa Kiislamu, waliokuwa wakishukiwa kushambulia Kituo cha Polisi cha Central jijini Mombasa, kama kawaida tukio hili lilidaiwa ni kupambana na misimamo mikali, licha ya hayo kiuhalisia, ni mbinu iliyo kusudiwa kuihofisha jamii ya Waislamu ndani ya majumba yao wenyewe.
Kwa furaha kubwa kutoka ndani ya nyoyo zetu, sisi katika Hizb ut Tahrir Kenya tungependa kutoa salamu zetu za dhati za Idd al-Adha iliyo barikiwa kwa Waislamu nchini Kenya na ulimwengu mzima kwa jumla.
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam umewaonya raia wake juu ya mzozo wa sasa wa kisiasa kati ya serikali na vyama vya upinzani.
Amri iliyotolewa na hayati Aboud Jumbe, aliyekuwa rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyefariki wiki iliyopita akiwa na miaka 96, ya jinsi mazishi yake yatakavyo fanywa imeonyesha zaidi uovu wa fahamu ya utaifa machoni mwa kila mmoja.
Kufuatia msusuru wa matukio ya kuchomwa shule na wanafunzi ambapo sasa imefikia shule 105, Hizb ut Tahrir / Kenya ingependa kuangazia yafuatayo:
Waziri Mkuu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, kwa sasa yuko katika ziara rasmi ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika. Ziara yake ilianzia nchini Uganda, ikifuatiwa na Kenya, Jumanne 04 Julai 2016.
Harakati ya Kiislamu ya Hizb ut Tahrir inakemea vikali mauaji ya kikatili ya Wakili Willie Kimani na watu wengine wawili akiwemo mteja wake Josephat Mwenda. Hiki ni kitendo cha kinyama hususan baada ya miili hiyo mitatu kupatikana imetupwa katika mto huku macho ya mmoja ya miili hiyo yakiwa yamenyofolewa.
Kwa munasaba wa Mwezi wa Kheri wa Ramadhani, Chama cha Kisiasa cha Kiislamu Hizb ut Tahrir Kenya kina watakia Waislamu wote nchini Kenya na kote duniani kwa jumla Ramadhani Kareem na Saumu Maqbul.