Sera ya Kujizuia na Hakikisho la Kutokuwa na Vita Juu ya Kashmir Iliyokaliwa Imeishajiisha Tu Dola ya Kibaniani Kuyaelekeza Majeshi Mpakani na China
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kukaririwa kwa amani na India na watawala wa Pakistan sasa kumefichuka kikamilifu kama utiifu wa hila kwa Amerika, kwa gharama ya maslahi muhimu ya kitaifa.