Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kinazindua Kampeni ya Kimataifa: "Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake"
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Tuko katika umasikini licha rasilimali zetu nyingi.
Kuanguka kwa Khilafah Kwahitaji Kazi ya Kurudi Kwake.