Utiifu wa Hasina kwa Maadui wa Mwenyezi Mungu hauwezi kumzuia Kuanguka kwake Kuliko Karibu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mpango wa sherehe ya golden jubilee wa Bangladesh uligeuka kuwa kumchungu wakati maandamano makubwa yalipotokea dhidi ya Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, ambaye aliwasili Dhaka mnamo Machi 26 kama mgeni mkuu.