- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):
Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Kutoka ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.
Ijumaa, 13 Rajab Tukufu 1447 H sawia na 2 Disemba 2025 M

- Khutba na Darasa za Misikitini katika Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah -
"Hakuna Ikhtilafu kati ya Umma wa Kiislamu au Miongoni mwa Maimamu kuhusu Ufaradhi wa Khilafah!"
Hotuba ya msikitini iliyotolewa na Sheikh Ayman Khalaf (Abu Ubaidah)
Qalqilya - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 20 Rajab 1447 H - 9 Januari 2026 M
"Rajab Tukufu inalia kwa ajili ya Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"
Hotuba ya msikitini iliyotolewa na Ustadh Ubadah Mahmoud Quraan
Qalqilya - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Jumapili, 22 Rajab 1447 H - 11 Januari 2026 M
"Khilafah ni Sanaa na Bidhaa ambayo Dini Husimamishwa kupitia Kwayo!"
Hotuba ya msikitini iliyotolewa na Ustadh Radwan Nasser Abdel Aal
Qalqilya, katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Jumatatu, 23 Rajab 1447 H - 12 Januari 2026 M
"Ukumbusho na Ujumbe kwa Ummah wa Kiislamu katika kumbukumbu ya miaka 105 ya Kuanguka kwa Khilafah"
Darsa ya msikiti iliyotolewa na Sheikh Yusuf Shawahneh (Abu Islam)
Jenin al-Qassam - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
"Khilafah... Kwayo Mnanusurika na Kwayo Munapata Izza!"
Darsa ya msikiti iliyotolewa na Ustadh Adeed Naufal
Khalil Al-Rahman - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Jumapili, 29 Rajab Tukufu 1447 H - 18 Januari 2026 M
"Kuvunjwa kwa Khilafah... Msiba Mkubwa baada ya Kifo cha Mtume (saw)!"
Darsa ya msikiti iliyotolewa na Sheikh Abdulrahman Zuyood (Abu Mus'ab)
Jenin Al-Qassam - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Jumapili, 29 Rajab Tukufu 1447 H - 18 Januari 2026 M
“Khilafah ijayo, Mwenyezi Mungu akipenda, Itajaza Ombwe la Kisiasa Duniani!”
Hotuba iliyotolewa msikitini na Ustadh Abdul Rahim Hassain
Qalqilya – Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 4 Sha'ban 1447 H - 23 Januari 2026 M
“Katika Kumbukumbu ya Khilafah, Mjumbe Mkuu Mpya!”
Hotuba iliyotolewa msikitini na Sheikh Burhan al-Samman (Abu Amer)
Qalqilya - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Ijumaa, 4 Sha'ban 1447 AH - 23 Januari 2026 M

- Kitengo cha Wanawake katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) -
[Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah!]
Kwa mnasaba wa ujio wa kumbukumbu ya miaka 105 uchungu ya kuvunjwa na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki kwa dola ya Kiislamu iliyosimamishwa na Mtume Muhammad (saw) na Maswahaba zake watukufu (ra), na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H, sawia na 3 Machi 1924 M, Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kinawasilisha msururu wa kalima ili kuhamasisha Ummah wa Kiislamu kufanya kazi kwa bidii na kwa dhati pamoja na Hizb ut Tahrir ili kuiregesha, kama Mtume wetu Muhammad (saw) alivyotabiri: “Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.”

Katika kumbukumbu ya miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Tunatoa wito kwa azimio letu, kheri ni kwa wale walioitikia wito!
Ijumaa, 13 Rajab 1447 H, sawia na 2 Januari 2026 M
Kuvunjwa kwa Khilafah kulikuwa mojawapo ya misiba mikubwa zaidi, na huu ni ujumbe kutoka Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)... Je, kutochukua hatua kutaendelea kwa muda mrefu? Au je, bishara njema ya Mtume (saw), ya kukombolewa kwa Roma inakaribia? Uwanja uko wazi kwa yeyote anayetaka kuacha alama yake katika historia ya izza ijayo ...

Katika Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Mmoja wa Wanawake Huru wa Palestina anawahutubia Vijana wa Umma, akiwahimiza Waamke!
Wito kwa vijana, moyo unaodunda na nguvu inayosukuma Umma wa Kiislamu, kufanya kazi kwa ajili ya ushindi wa imani na kuwakumbuka mababu zao, Maswahaba wa Mtume (ra). Kumbukumbu hii ni chanzo cha nguvu mpya, kunoa azma, na upya wa kujitolea kwa kupata thawabu katika maisha haya na ya baadaye.
Ijumaa, 20 Rajab 1447 H / 9 Januari 2026 M

Katika Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuanguka kwa Khilafah
Khilafah ni Faradhi, Ahadi, na Bishara Njema!
Hali ya Ummah wa Kiislamu bila ya Khilafah... Baada ya kuwa dola bora zaidi duniani, kuanguka kwake kutoka kwa neema kumeushusha hadi chini ya mataifa... Umeshuka kutoka nafasi yake ya juu, ukimezwa na umaskini na unyonge... Tazama Gaza na kinachowatokea watu wetu huko; hakuna majeshi yaliyopelekwa kuwaokoa. Wito ulitumwa kwa wanazuoni na majeshi kwamba Je, si wakati wenu wa kufanya kazi ya kuregesha Khilafah, ambayo ni faradhi, ahadi, na bishara njema? Je, sio wakati sasa?!
Ijumaa, 27 Rajab 1447 H - 16 Januari 2026 M

Katika kumbukumbu ya miaka 105 ya kuangamizwa kwa Ukhalifa:
Maumivu na matumaini!

- Alama Ishara za Kampeni -
#أقيموا_الخلافة
#في_ذكرى_هدم_الخلافة
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah

Ili kupata maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):
Chaneli ya YouTube ya Wito kutoka Bait al-Maqdis




