Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo (466)
- Imepeperushwa katika Jarida la Al-Waie
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Pongezi za wabebaji da’wah miongoni mwa mashababu wa Hizb ut Tahrir kutoka kote ulimwenguni kwa Umma wa Kiislamu kwa mnasaba wa ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H
Afisi Kuu ya Habari: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H
Ummah umepitia mateso ya kubaki chini ya nira ya tawala za vibaraka. Umeshuhudia kwa macho yake wenyewe watawala wakifuja mali zake kwa makafiri, wakoloni wa Magharibi, kuzitelekeza kwao na sababu zake, kuzuia kwao majeshi kusonga ili kuinusuru Palestina kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wahalifu, uingiliaji wa wazi wa Magharibi katika dini yake na uadilifu wake, na jaribio la kuulazimisha kulishuhudia umbile la Kiyahudi, na kuuacha na chaguo kati ya uhalalalishaji mahusiano au kifo. Mandhari na matukio haya yote yameufanya utambue kwamba bila ya utawala wa Uislamu, utabakia kukoloniwa, kulengwa, na kudhalilishwa. Kukinaika kwake kwa haja ya dola ya Khilafah kumeimarishwa, na kwa hakika, Khilafah imekuwa ni kiu yake.
DVD ya “Amali za Hizb ut Tahrir za Kilimwengu katika Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1446 H - 2025 M”
Enyi Majeshi katika ardhi za Waislamu, hasa zile zinazoizunguka Palestina: Je, kuna udhuru wowote uliobaki kwa wanaoomba msamaha? Je, kuna hoja yoyote iliyobaki kwa wanaolaani? Vipi mnaweza kuona na kusikia uvamizi na mauaji ya Mayahudi hali mmekaa katika sehemu zenu, bila kutikisika, badala ya kuelekea katika ardhi ya Al-Ribat, Palestine Ardhi Iliyobarikiwa, ili kurudisha uvamizi wa Mayahudi na kuliondoa umbile lao?
Enyi Majeshi “Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi?”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan: “Ramadhan ni njia ya mafanikio”
Kalima ya Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Mwezi Ramadhan Uliobarikiwa 1446 H
“Mapema leo, Rais Trump wa Marekani alithibitisha mpango wake wa Marekani kuchukua udhibiti wa Gaza na kuwafukuza Wapalestina, akisema kwamba amejitolea kuinunua na kuimiliki Gaza. Kauli hii ilitolewa na Trump mnamo Jumapili jioni ndani ya ndege ya Air Force One alipokuwa akielekea New Orleans kuhudhuria Super Bowl." (BBC, 10/2/2025) Baadaye, wakati wa mkutano wake na Mfalme wa Jordan, alisema: "Wapalestina wataishi kwa usalama mahali pengine, nje ya Gaza, na ninaelewa kwamba tuna uwezo wa kufikia suluhisho,"