Mkutano wa 26 Waangusha Jani la Mtini juu ya Ufisadi wa Mfumo wa Kiulimwengu na Kufichua Uongo wa Wale Wanaousimamia
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni kongamano la 26! Kongamano hilo, ambalo lilifanyika Januari 31, 2021, linamaanisha kuwa kulikuweko na makongamano mengine 25 ya hali ya hewa yaliyotangulia, lakini hayakuleta matokeo ya maana.