Njia ya Kufikia Viwango vya Juu vya Iman: “Tumuabudu Mwenyezi Mungu kama Ambaye Tunamuona”
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwenyezi Mungu amewaneemesha waja wake kwa neema nyingi zisizohesabika, kubwa zaidi ni neema ya Uislamu ambayo kwayo aliukirimu Umma wa Mtume wake mpendwa Muhammad (saw), na ambayo alimteremshia ili kuieneza katika walimwengu kwa uongofu na rehma.