Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 8 Rabi' II 1447 | Na: HTS 1447 / 39 |
M. Jumanne, 30 Septemba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Umma
(Imetafsiriwa)
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tunafuraha kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wale walio na hamu na mambo ya Umma, kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha kila mwezi cha Masuala ya Umma, ambacho mwezi huu kitakuwa na kichwa:
Ni Nani Anayemiliki Uamuzi wa Kukomesha nchini Sudan
Wazungumzaji katika kikao:
1- Ustadh Nasser Ridha, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
2- Ustadh Muhammad Jami’ (Abu Ayman), Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
Mwendesha kikao: Ustadh Ibrahim Mushrif, Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
Tarehe: 12 Rabi’ al-Akhir 1447 H sawia na 4 Oktoba 2025 M
Wakati: 1:00 PM (Adhuhuri)
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan – Hay al - ‘Azama – Mashariki mwa Uga wa Port Sudan
Kuhudhuria kwenu ni heshima kwetu, kwa kunaakisi kuyajali masuala ya Umma wenu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |