Serikali ya Mpito na Kundi la Mapinduzi (Jabhat al-Thawrah) Wanaiweka Nchi Kwenye Mashini ya Upasuaji kwa Mara ya Pili
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnano siku ya Jumatatu 31/08/2020 M; serikali ya mpito ilitia saini huko Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini, makubaliano yaliyoitwa makubaliano ya amani na Chama cha Mapinduzi,