Khiyana ya Viongozi wa Serikali ya Mpito Inaendelea katika Faili ya Usawazishaji Mahusiano na Umbile la Kiyahudi!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Gazeti la The New York Times la Amerika lilifichua kuwa mipango inafanywa katika Ikulu ya White House ya kutiwa saini kwa makubaliano ya amani kati ya Sudan na umbile la Kiyahudi mnamo Disemba hii,