Mahakama ya Kimataifa ya Jinai: Chombo cha Kisiasa, sio cha Kimahakama Uadilifu wa Kweli Unaweza tu Kupatikana Kupitia Utekelezaji wa Sheria za Kiislamu chini ya Khilafah Rashida
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pambizoni mwa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, Karim Khan, alikutana na Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Enzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Sudan, mnamo Ijumaa, Septemba 22, 2023.



