Nidhamu ya Kidemokrasia Inahukumu Kinyume na Aliyoleta Wahyi Mwenyezi Mungu
- Imepeperushwa katika Kuwait
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nchi hivi sasa inashughulishwa kuhusiana na mwito wa uchaguzi wa wagombeaji wapya katika Baraza la Ummah, baada ya agizo kutoka kwa amiri kuvunjilia mbali baraza la awali na kuitisha uchaguzi mpya ufanyike mnamo Jumamosi, 26/11/ 2016. Ilhali watu wanashughulika na masuala ya siasa za ndani, tungependa kuwaelekeza kwa masuala muhimu na kuyaweka wazi...