Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 285
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 285
Vichwa Vikuu vya Toleo 285
Denmark: Pongezi kwa ujio wa Mwezi wa Ramadhan Ulio Barikiwa 1441 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon katika mji wa Sidon imetoa wito wa swala za Ijumaa kufanyika katika uwanja wa wazi mjini humo, miezi kadhaa baada ya kukatizwa kwa swala za Ijumaa.
Uwajibu wa Jihad utabakia ima Serikali ya Khilafah ipo ama la. Kwa muda, Wamagharibi wamejaribu kupandikiza mkanganyiko katika jambo hili kwa sababu wana hofu juu ya hisia za uungaji mkono Jihad walizonazo Waislamu.
Vichwa Vikuu vya Toleo 284
Ulaya: Kongamano la Chuo Kikuu kwa anwani “Ujumbe wa Uislamu” ndani ya mji mkuu wa Ubelgiji Brussels
Mkutano huo ulianza kwa kusomwa aya za Qur’an Tukufu. Mada ya kwanza iliyo wasilishwa iligusia Umoja wa Waislamu. Muhadhara huo ulikuwa kuhusu Itikadi na kuwayeyusha watu na mataifa ndani ya chungu kimoja.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ubelgiji ulikwenda katika Ubalozi wa serikali ya Pakistan uliopo jijini Brussel na kumkabidhi katibu wa pili taarifa mbili kwa vyombo vya habari zilizo tolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan kuhusu kutekwa nyara kwa dada Romana na dada Dkt. Roshan.
Hizb ut Tahrir Ubelgiji iliandaa mjumuiko kwa anwani “Inueni Sauti zenu kwa ajili ya Allepo!” Ndugu zetu walijadili yale ambayo mapinduzi nchini Syria yameyafikia hususan mji unao shambuliwa wa Aleppo, na yapi ambayo Ummah wa Kiislamu wanapaswa kufanya kwa ajili ya ushindi wa watu wetu huko.
Usambazaji wa chakula duniani kote “utavurugika kwa kiwango kikubwa” kutokana na virusi vya korona, na watu wenye matatizo makubwa ya njaa wataongezeka maradufu, hadi pale serikali zitakapo chukua hatua, baadhi ya kampuni za chakula zilionya.