Hata Watoto Wetu Wadogo Hawapo Salama Chini ya Ubepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania imetoa takwimu mpya kuhusu ukatili kwa watoto nchini kuanzia Januari mpaka Septemba 2021.
Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania imetoa takwimu mpya kuhusu ukatili kwa watoto nchini kuanzia Januari mpaka Septemba 2021.
UAE inasimamisha mazungumzo na serikali ya Amerika ili kupata ndege za kivita za F-35 kutokana na "vizuizi vya ubwana wa nchi", afisa mmoja wa Imarati alisema mnamo Jumanne.
Rais wa Tunisia Kais amefichua kurefushwa kwa muda wa kusimamishwa kwa bunge la nchi hiyo, na kutangaza kuwa kura ya maoni kuhusu mageuzi ya katiba itafanyika Julai 2022, na kufuatiwa na uchaguzi wa wabunge mwezi Disemba.
Mnamo miaka ya 90 ya karne ya 20, wakati serikali kuu ya Urusi ilipokuwa dhaifu, kwa ajili ya kuihifadhi serikali hiyo, ilitengeneza maridhiano mengi na umma na viongozi wa nchi za “jamhuri” na “tawala huru”, kwa ukarimu “kuzifadhili” kwa “mamlaka” bandia ili kuhifadhi nguvu zake juu yao.
Kwa kuongezeka mvuto katika Dini tukufu ya Uislamu ndani ya miongo mitatu iliyopita, kumekuwa na ongezeko la uwiyano wa shauku katika miongozo ya Uislamu kuhusiana na huduma za afya.
Majeshi ya Magharibi hupiga hesabu za vita kwa idadi vikosi vya Kiislamu vinaamini Nusra ya Mwenyezi Mungu (swt) Vikosi vya Kiislamu hutamani kufa shahidi Majeshi ya Kiislamu daima huyashinda majeshi makubwa zaidi Mwenyezi Mungu (swt) amesema,
Serikali duniani kote zinashughulika hivi sasa kuweka mikakati ya kikatili ili kudhibiti kuenea kwa aina mpya ya Virusi vya Ugonjwa wa Korona vya 2019 kwa jina Omicron.
"Leo, tunatia saini mikataba miwili mipya inayoakisi ushirikiano wetu wa kina juu ya Afghanistan. Ya kwanza yanaiasisi Qatar kama dola ya ulinzi ya Marekani nchini Afghanistan," alisema Blinken.