Alhamisi, 28 Jumada al-thani 1447 | 2025/12/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mtoto Huyu Aliyeungua Anapenda Moto

Siku ya Pakistan iliadhimishwa mnamo Jumatano tarehe 23 Machi. Vikosi vya jeshi vilionyesha nguvu zao katika gwaride la kijeshi la kila mwaka jijini Islamabad huku viongozi wakuu walioshiriki katika Kikao cha 48 cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wakitazama kama wageni wa heshima.

Soma zaidi...

Sheria Mpya ya Vyama ya Jordan Haizalishi Vyama vya Kisiasa kwa ajili ya Umma... Bali, Vyama kwa ajili ya Serikali

Mnamo Jumatatu, 21/3/2022, Baraza la Wawakilishi liliidhinisha rasimu ya sheria ya vyama vya kisiasa kama ilivyorekebishwa na Seneti, baada ya kuidhinishwa hapo awali na Baraza la Wawakilishi mnamo tarehe 8/3/2022, baada ya kuidhinisha vifungu vyake 43, katika vikao vinavyoendelea kwa muda wa siku tatu.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu